Klabu ya Simba imeridhia ombi la aliyekuwa Kocha Mkuu,Didier Gomes da Rosa la kuachana na Simba kuanzia leo, baada ya tathmini na majadiliano ya kina,pande zote zimeafikiana kwa mujibu wa mkataba na manufaa ya wote. Thierry Hitimana,ndiye atakuwa Kocha Mkuu wa Simba.