83070686

Bao pekee la Kai Haverts wa Chelsea dakika ya 42 lilitosha kuipa timu hiyo ubingwa wa UEFA Champions League  mbele ya Manchester City ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu England. 

 

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Dragao majira ya saa 4:00 usiku ambapo mbinu za Kocha Mkuu wa Chelsea,  Thomas Tuchel zilimzidi Kocha Mkuu wa City, Pep Guardiola. 

0768671579

Add comment


Security code
Refresh