Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amehairishwa ziara ya muziki ya barani la Ulaya hadi itakapotangazwa tena hapo baadae kufuatia tishio la maambukizi ya virusi vya Covid-19 (Corona virus).

Kupitia ukurasa wa Instagram Diamond ameandika, "Due to CORONA VIRUS, We have Postponed My EUROPE TOUR...New Dates will be Announced Soon....

 
0768671579

Add comment


Security code
Refresh