Msanii Harmonize anazindua Album yake ya Afro East Mlimani City DSM, Watu 500 wamepewa nafasi kwenye uzinduzi huo ambao mgeni rasmi wake ni Waziri Harrison Mwakyembe.

 

"Natamani kila record ambayo ina kiswahili ndani yake tuiite Afro East, haikuwa rahisi kuwaweka Wasanii wengi wakubwa pamoja, Birthday yangu inakaribia ndio maana Album yangu naizindua March 14 najizawadia, baada ya hii nitafanya kitu kikubwa na Watu wengi zaidi watakuja"-Harmonize

0768671579

Add comment


Security code
Refresh