253552770_211183584425165_5597064592249574699_n_1.jpg

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya ameongoza zoezi la upokeaji wa vifaa vya ujenzi wa chujio la maji.

Chujio hilo ambalo linajengwa Mangamba iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani, kukamilika kwake linatarajia kuondoa adha ya uchagu wa maji ambayo wanaipata wakazi wanufaika na mradi huo.

Akizungumza jana wakati wa kupokea vifaa hivyo mkuu wa wilaya huyo amesema kuwa amesikitishwa na mzabuni wa mchanga kwa kuto timiza majukumu yake vema, na kumtaka ndani ya wiki mbili awe amepeleka mchanga huo kutoka nchini Uturuki.

0768671579

Add comment


Security code
Refresh