WhatsApp Image 2020 06 17 at 10.21.42 AM

Mwenyekiti wa CCM Dkt.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Mkuu Dkt.Bashiru Ally jijiji Dodoma leo Juni 17, 2020

 

0768671579

Add comment


Security code
Refresh