1024x538 809287

[11:19, 5/21/2020] Mpiko jr: Katika trend tuliyoiona sina uhakika kama kuna mwanamichezo aliyekufa kwa corona na michezo ipo mingi kila mmoja ana michezo yake, lakini michezo inasaidia kupambana, kwahiyo kuanzia June 01,2020 michezo irudi kama kawaida, ligi mbalimbali” -JPM
• •
“Kuanzia June 01,2020, michezo ianze, kuanzia ligi hiyo iliyokuwepo, ligi daraja la kwanza, la pili, n.k iendelee, taratibu za kushangilia na kuangalia Wizara ya Afya na inayohusika na Michezo watapanga ili utaratibu wa social distance ukaendelea kuwepo” -JPM
#SafariUpdates

 

0768671579

Add comment


Security code
Refresh