53290815 403 1 660x400

TBS imewataka wanaotengeneza barakoa za kitambaa kuzingatia masharti ambayo ni kitambaa kiwe ni cha pamba asilimia 100, kiwe na uzito GSM 90-130, barakoa iwe na layers mbili, iweze kufunika pua na mdomo na iruhusu upumuaji pia iweze kufuliwa na kunyooshwa.

0768671579

Add comment


Security code
Refresh