https://1.bp.blogspot.com/-liG5c9DLmok/XohYGsrpPRI/AAAAAAAAxqg/m1ujTetH4Ww06MNgrqbP3OXiGfcHaS_jACLcBGAsYHQ/s1600/2.JPG Mchekeshaji maarufu hapa nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji ameitikia wito na tayari amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. Wito wa mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi, ulitolewa jana ambapo Katambi alimtaka Masanja kujisalimisha ofisi ya DC au Polisi kwa mahojiano bada ya kuwahoji Watu Dodoma kuhusu corona.
0768671579

Add comment


Security code
Refresh