Mabingwa wa kihistoria Yanga Africas Imemtambulisha rasmi kocha wake mpya mbeligiji Luc Eymael ambae alikuwa akiifundisha Timu ya Black leopards Inayoshiriki ligi kuu ya Africa kusini 

Kocha huyo ataungana na club yake leo majira ya Saa nane huko Zanzibar ambapo inashiriki kombe la Mapinduzi 

Yanga itashuka dimbani hapo kesho kuvaana na Mtibwa sukari ya morogoro katika hatua ya nusu fainali ambayo itapigwa leo tarehe 09/01/2020 majira ya saa 02:15 Usiku ambapo wenzao watani wa jadi wataumana na Azam fc ya Dar es salaam hapo kesho tarehe 10/01/2020

 

0768671579

Add comment


Security code
Refresh