Tyga allianza mwaka 2018 kwa kuachia ngoma iitwayo ‘Temperature’ na kisha akatushushia remix ya ‘Ric Flair Drip’ akimshirikisha Offset.

Leo msani huyo anayeishi huko jjini Los Angels nchini Marekani ametangaza kuachia albamu mpya inayoitwa KYOTO na jina hilo ni mji maarufu wa Japan..

Albamu hiyo itaachiwa rasmi Februari 16 mwaka huu na msanii huyo pia ameonyesha mchoro rasmi utakao tambulisha albamu hiyo kwa kuposti katika kurasa zake za Instagram na kuandika kwamba “This album is me opening my heart to you and I hope you enjoy it and love it as much as I do.”

My new Album KYOTO drops FEB 16❤️ I been wanting to make this album for a while now but didn’t have the confidence and the story to express my true emotions.I thank all the love and support you have given me over the years. Thru my ups and downs,At My highest and my lowest points.Thru my brightest and darkest hours.This album is me opening my heart to you and I hope you enjoy it and love it as much as I do❤️ THANK YOU GOD ALWAYS . Thank You Hajime Sorayama for allowing me to share this experience with the world thru your creative art & my vision. #HajimeSorayama #KYOTO FEB 16 Pre order link in bio now.

0768671579

Add comment


Security code
Refresh