Manchester City inamtaka Aymeric Laporte na inafikiria kutimiza kipengee cha kumruhusu beki wa kati huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 23 kilichotolewa na Athletic Bilbao cha Pauni milioni 60.

Borussia Dortmund inamtaka mshambuliaji raia wa Ufaransa wa timu ya Arsenal Olivier Giroud, mwenye umri wa miaka 31, kama sehemu ya kubadilishana na mchezaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri wa 28, - au wasitishe mpango huo hadi msimu wa joto.

Chelsea inatafakari kuvunja sera ya kutolipa malipo ya uhamisho kwa wachezaji wake kando na makipa walio na umri wa miaka 30, kumsajili mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 31, kutoka Roma. Upande wa Antonio Conte huenda ukakamilisha makubaliano ya mara mbili ya Dzeko na mchezaji wa Roma Italia wa kiungo cha beki kushoto Emerson Palmieri, mwenye umri wa miaka 23, kwa thamani ya pauni milioni 44.

Dzeko apewa kadi nyekundu kwa kumvua mwenzake suruali

Eden Hazard ainusuru Chelsea katika sare ya 3-3 dhidi ya Roma

Kane na Kante waorodheshwa kushindania Ballon d'Or

Au Chelsea itawalipia wachezaji wote wawili pauni milioni 50.

Crystal Palace imeanzisha mazungumzo na Inter Milan kuhusu makubaliano ya zaidi ya pauni milioni 8.5 kumsajili mchezaji wa kiungo cha mbele Eder, mwenye umri wa 31.

Newcastle ipo tayari kusaini uhamisho wa mkopo wa winga wa Chelsea raia wa Brazil Kenedy, mwenye umri wa miaka 21, katika saa 24 zijazo.

0768671579

Add comment


Security code
Refresh