Bondia Conor McGregor ameahidi kumtangwa Floyd Mayweather ndani ya Round nne wawili hao walipokutana katika kulizungumzia pambano lao la Agosti 26.

Wametokea mbele ya maelfu yamashabiki wao katika mkutano na waandishi wa habari mjini Los Angeles

'Upinzani atakaoupata kutoka kwangu hajawahi kuupata kamwe'', alisema McGregor, 28.

Mayweather akajibu ''Nakuhakikishia nitaharibu uso wako''.

0768671579

Add comment


Security code
Refresh