Local News

   WAZIRI MKUU AMEWATAKA WAFANYABIASHARA KUTUMIA TAASISI ZA KIFEDHA KUKUZA MITAJI

WAZIRI MKUU AMEWATAKA WAFANYABIASHARA KUTUMIA TAASISI ZA KIFEDHA KUKUZA MITAJI

Local News 26 March 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wafanyabiashara wilayani Ruangwa kutumia taasisi za kifedha kukopa fedha kwa ajili ya kukuza mitaji yao. Ameyasema hayo jana Jumapili, Machi 25, wakati akizungumza na wafanyabiashara…
Readmore

International News

POLISI MISRI WAUA WANMAGAMBO SITA

POLISI MISRI WAUA WANMAGAMBO SITA

International news 26 March 2018
Maafisa wa polisi nchini Misri jana Jumapili wamewaua wanamgambo sita wanaoshukiwa kuhusika katika jaribio la mauaji lililoshindwa lililokuwa likimlenga afisa mkuu wa usalama siku moja kabla katika mji wa pwani…
Readmore

Sports & Entertainments

SERGIO RAMOS NA MPENZI WAKE PILAR RUBIO WAPATA MTOTO WA TATU

SERGIO RAMOS NA MPENZI WAKE PILAR RUBIO WAPATA MTOTO WA TATU

SPORTS & ENTERTAINMENT 26 March 2018
Beki kisiki wa klabu ya ska ya Real Madrid, Sergio Ramos na mpenzi wake Pilar Rubio wamefanikiwa kupata mtoto wao wa tatu. Ramos amethibitisha hilo kupitia mtandao wa Instagram ambapo…
Readmore